16 New Teaching Job posts from Private Schools | Apply Immediately
Key Characteristics of a Teacher:
READ MPYAIMEBAKI SIKU MOJA AJIRA PORTAL ...soma hapa..
- Knowledgeable: A teacher has expertise in a particular subject or several subjects.
- Instructor: They deliver lessons, explain concepts, and guide students through learning activities.
- Mentor: Teachers provide advice and encouragement, supporting students in their personal and academic growth.
- Facilitator: They help students think critically, solve problems, and explore new ideas.
- Role Model: Teachers often serve as positive examples, influencing students' behaviors and attitudes.
Types of Teachers:
- Primary School Teachers: Teach young children in basic subjects such as reading, writing, and math.
- Secondary School Teachers: Specialize in specific subjects, like science, history, or languages.
- College/University Professors: Teach advanced courses and conduct research.
- Special Education Teachers: Work with students who have disabilities or special learning needs.
Teachers make a lasting impact on students, helping them succeed academically and develop into responsible individuals.
A teaching job refers to a professional position where an individual is responsible for educating students in a school, college, university, or other educational institution. Teachers play a crucial role in helping students acquire knowledge, develop skills, and build their character.
Key Responsibilities of a Teaching Job:
- Lesson Planning: Creating structured lessons that cover curriculum objectives.
- Instruction: Teaching subjects to students, such as math, science, literature, etc.
- Assessment: Testing students' knowledge through exams, quizzes, and other evaluations.
- Classroom Management: Maintaining a productive learning environment.
- Student Support: Offering academic and emotional support to students.
- Professional Development: Continuously improving one's teaching skills and knowledge.
Teaching jobs vary by level, including:
- Elementary School Teacher: Teaches younger children in a range of subjects.
- High School Teacher: Specializes in a subject like math, history, or biology.
- College/University Professor: Teaches higher education students, often focusing on specialized fields.
Teaching jobs can also be found in different types of institutions, such as public schools, private schools, online schools, and international schools.
PRIVATE SCHOOL JOBS TO APPLY👇
JOB 1 (2 POSTS)
👁️*TEACHING EMPLOYMENT* (2 POSTS)
Heaven Academy Pre and Primary School, which located at Tegeta-Wazo Nyakasangwe is urgently looking for qualified and competent teachers to fill the following vacancy:
1. *English, Historia na maadili and Civic and Moral Education teacher*
Qualifications
1. Currently experience of teaching *English, Historia na maadili and Mora Education.*
2. Flexible who can teach any class from 1-6
3. Graduated from recognized institution by government.
4. Can work with lesser supervision
5. Certificate, diploma in education and Degrees
Deadline for application *17/09/2024*
Send your CV though:
WhatsApp *0766090302(The Head teacher)*
Or
Email: registration@heavenacademyschools.com
Send normal texts or call,
JOB 2 (1 POST)
👁️Anahitajika mwalimu wa ufundi seremala mwenye vyeti daraja la pili
mshahara TSH 100,000 kwa mwezi
Kula BURE na kulala bure sehemu ipo
Ajira hii IPO mkoa wa IRINGA
MAWASILIANO Namba 0763264151
READ THIS: KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
READ THIS:KAZI 317 KUTOKA JIJINI DSM
READ THIS:154 TEACHING JOBS ANNOUNCED
READ THIS:KAZI ZA MUDA ARDHI
READ THIS:WRITING GOOD CV
JOB 3 (3 POSTS)
👁️Clara english medium school in dodoma is readvertising job vacancies:
1.nursery teacher
2..primary teachers
3.patron and matron.
For job details just contact coordinator mr marwa on +255680671242, +255785307501
Walimu wa nursery Dodoma
JOB 4 (5 POSTS)
*TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.*( 5 POSTS)
Mkurugenzi wa shule za BRAIN YIELD zilizoko Salasala Kinondoni DSM, anatangaza nafasi za kazi kwa shule ya Sekondari kama ifuatavyo:-
1. Mwalimu mahiri wa kufundisha somo la Physics, Chemistry na Biology (PCB) (Nafasi 02)- Uzoefu ni miaka 3 ya mafanikio akifundisha Form one hadi form four/six. Elimu ni Diploma ya ualimu au Degree na awe Mtanzania.2. Mwalimu mahiri wa kufundisha somo la Economics, Geography na Mathematics (EGM). Mwenye cheti cha ICT( Information, Communication and Technology) atapewa kipaumbele (Nafasi 03). Atafundisha kuanzia form one hadi form four/six. uzoefu miaka 3 na kuendelea, awe na diploma au Degree kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali na awe Mtanzania.
3. Katibu mahsusi ( special secretary) (Nafasi 01) ( Re-announced)
-Awe na cheti au diploma ya mafunzo ya computer kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
-Awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika 1.
• Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea.
• Awe na umri kuanzia miaka 25-35.
- Awe na uzoefu wa kufanya kazi za shule kwa zaidi ya miaka 3 na kuendelea.
- Awe muaminifu na mtunza siri za ofisi.
• Awe anaweza kuhamia shuleni/ maeneo karibu na shule.
- Amudu program za windows, Microsoft office, Internet, E-mail na publisher.
- Aweze kuongea na kuandika Kiingereza kwa ufasaha.
- Awe mtanzania.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:
- Tuma barua ya maombi na uambatanishe vivuli vya vyeti vyako vya taaluma na wasifu wako kwa njia ya WhatsApp.
- Kwa atakaeweza, unaweza kuwasilisha barua yako ya maombi shuleni kwa mkono.
- Pasport 2, za hivi karibuni ziwekwe ndani ya bahasha.
- Barua iandikwe kwa mkono.
- *- Mwisho wa kutuma maombi ni Ijumaa tarehe 20/09/2024.
- # Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha zaidi ya somo moja.
- Wale ambao taarifa zao zitakidhi vigezo wataitwa kwenye interview ( usaili) na watatakiwa kuja na vyeti vyao halisi vya taaluma.
*- Tafadhari usipige simu; Tuma au leta taarifa zako shuleni.*
- NAMBA ZA KUTUMA DOCUMENTS.
0744837265- MKUU
0753121754- MTAALUMA.
*KARIBUNI SANA.*
JOB 5 (1 POST)
UONGOZI WA JUVIKI PRE AND PRIMARY SCHOOL iliyopo MAKAMBAKO MJINI unatangaza nafasi kwa mwalimu wa BABY CLASS au MIDDLE CLASS mwenye sifa zifuatazo;
1 .Awe ni mwenye STASHAHADA au CHETI cha EARLY CHILDHOOD EDUCATION kutoka kwenye chuo kinachotambulika
2.Awe na uzoefu angalau mwaka mmoja na kuendelea.
3 .Awe wa kike
Kwa mawasiliano piga simu namba 0628434651.
JOB 6 (4 POSTS)
👁️WALIMU ✅
Wanahitajika haraka sana, waalimu wanne (wawili wa kike na wawili wa kiume)
mahiri katika somo la kiingereza kwa level ya sekondari (Form one)
Mawasiliano 0717600612